Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Wewe ni yupi kati ya wale?
1.Tall mwenye kofia
2. Tall mwenye shati
3. Shortii White ??
 
Uzi wa kipuuzi sana, upuuzi mtupu... umesikia ripoti ya polisi kweli wewe??? Kwa hiyo wasiojulikana wanamkamata wampeleke wapi??
 
Me nmechukulia kama unafanya jokes sidhani kama umemaanisha ulichosema.
 
Ukamataji una sheria na taratibu zake, kabla ujandika uzi tambua huandikii wajinga
 
Ukamataji una sheria na taratibu zake, kabla ujandika uzi tambua huandikii wajinga
 
Baltasar anakuita
 
Duuu unajikuta CIA, unakumbuka mzeee kibao alishushwa kwenye bus la abiria kwa utaratibu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…