Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga.
Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
Watu wanatekwa na kuwawa na hawajapewa miili yao, kisha nipinge hali hii kwa kulipwa pesa we ni mpumbavu sana achana na uchawa kajaribu na kilimoUr not serious anymore ikiwa mmekula hela za mebeberu hakikisheni mna -refund hizo hela
Ujinga Kama huu uliofanya hapa kuelekea 29/10 ndo ulisababisha vijana kuuliwa na wengine sasa wamepata ulemavu .
Kwahiyo we can't buy ur shit
Watu wanatekwa na kuwawa na hawajapewa miili yao, kisha nipinge hali hii kwa kulipwa pesa we ni mpumbavu sana achana na uchawa kajaribu na kilimo
Ndio mwisho wa kufikiri ulipo fikaNyie wajinga mlitumia akili gani kuamini kuwa 29/10 jeshi kitawalinda ?
Ndio mwisho wa kufikiri ulipo fika
Naona kichaa kimepandaSasa sikia , rudisheni hela .
Naona kichaa kimepanda
Katiba 20(2).Tuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga.
Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
Rudisheni vya watuNaona kichaa kimepanda
Sheria inaongelea kutoa taarifa tu, sio kuomba kibali. Ila kwa mazingira ya sasa ukijitokeza kutoa taarifa unatekwa chapTuache upotoshaji dhidi ya wapumbavu hakuna kibali cha maandamano na huwezi kumuomba kubali mtu namba moja unaye mpinga.
Sasa kibali cha nini kwenye maandamano waulizeni vizuri hicho kibali ni chanini kwenye maandamano na ni kwa matakwa yao wanatoa au sheria imesema ?
Sheria za Tanzania zinahitaji kibali kwa maandamano kama yatazidi watu 200 na yatatumia barabara.Sheria inaongelea kutoa taarifa tu, sio kuomba kibali. Ila kwa mazingira ya sasa ukijitokeza kutoa taarifa unatekwa chap
UONGO huu,Sheria za Tanzania zinahitaji kibali kwa maandamano kama yatazidi watu 200 na yatatumia barabara.