Tuache Usimba na Uyanga, Kapombe asiachwe Stars yeye ni nani hasa?

Tuache Usimba na Uyanga, Kapombe asiachwe Stars yeye ni nani hasa?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kapombe asiachwe Stars kwani yeye ni nani, akiwepo tutashinda? Hakuna mabeki nchi hii wanaoweza kucheza nafasi yake, yuko Kibwana yuko Job shida ni nini? Kapombe ni beki mzuri lakini ameniudhi kukosa penati na Wydad Casablanca halafu hakuonesha kujutia.

Shomari-Kapombe.png


Pia Kapombe ana pancha, leo tunamtegemea Kapombe akiumia mnaanza kulakamika lalamika kuwa nchi haikuandaa mtu wa kushika nafasi yake, hata Israel Mwenda ni beki mzuri tu na anaweza kuimudu nafasi yake sema haaminiki sana kwenye timu yetu, kucheza kwake hadi Kapombe aumie.

Kapombe aachwe tu, kwanza sisi tuna michuano ya Super League, mwacheni apumzike akusanye nguvu.
 
Mpaka sasa mmeshasajili wangapi kikosini kwenu?, au mnasubiri hadaa za akina Mwamedi?
 
Kapombe mshirikina.

Amrouche hataki wachezaji wanao amini nguvu za giza.
 
Kuchaguliwa ni kitu kingine na kiwango ni kitu kingine Ila Naomba usidharau kiwango Cha kapombe kitakwimu ndiye beki mwenye assist nyingi NBC, PIA anajituma saana ukilinganisha mabeki WENGI kwa pembeni.
Zuri zaidi ni mwacheni apumzike kacheza MECHI nyingi japo Shabalala ndo anaongoza kwa kucheza michezo mingi zaidi
 
Back
Top Bottom