Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 778
- 248
Mimi natokea Mkuranga,wewe je?wa dada wengine sasa na wewe unetokea wapi?
swissme
sema naomba uni malizia na jina langu hapo chiniMimi natokea Mkuranga,wewe je?
Sijaelewa naomba unifahamishe tafadhali,nilidhani unataka jina langu baby.sema naomba uni malizia na jina langu hapo chini
swissme
Haya bebi naomba unimalizie na jina langu hapo chini,mimi Karanja lover boy au vipi?sema naomba uni malizia na jina langu hapo chini
swissme
Haya bebi naomba unimalizie na jina langu hapo chini,mimi Karanja lover boy au vipi?
Ok kama wanawake siku hizi nao wanajiita baba,baasi sitii neno kabisaaaa,.,,., sasa mimi nitaitwa KARANJA KUMAZAN YASWISSME,hapo itakuwa pouwaa au vipi?
Sinza ipo wilaya gani mkuu? manake mi ndo nimefika jana.Unakujua sinza kweli wewe..[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Babaa,babaa babaaaa kumazan mbona kimya?
Wilaya ya mapipi mataaamuuuu.Sinza ipo wilaya gani mkuu? manake mi ndo nimefika jana.
Sijapanic baba,nataka nyonyo baba.umepanic
swissme
Kama hujasoma shule ya mbavu za mbwa nipe kirefu cha DNA baba Tunde Idiabong.
Mkuu huyo sio mwanamkeOk kama wanawake siku hizi nao wanajiita baba,baasi sitii neno kabisaaaa,.,,., sasa mimi nitaitwa KARANJA KUMAZAN YASWISSME,hapo itakuwa pouwaa au vipi?
Samahani mkuu sikuelewa,lakini the expression proves it au unaonaje?Mkuu huyo sio mwanamke