Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

TTCL sihami na mitandao mingine internet hawanipati tena. Tangu nipate hiki kidubwasha maisha yamekuwa rahisi sana kuanzia nyumbani hadi ofisini!

 
Nilitaka nikasajili laini yao sasa umenikatisha tamaa mazima
 
Hii ndio sababu,TTCL kumejaa vilaza watupu

 
Pole sana kwa changamoto hizo.
Tunaomba namba yako inbox na serial namba za vocha ulizokwangua vibaya ili tufuatilie na kutatua tafadhali.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
Haisaidii. Nilishatoa serial number mara kadhaa. Sikupata msaada wowote. Hili tatizo linamalizwa lini?? Mpaka nawaza kuondoa kabisa katika mtandao ta TTCL.
 
Haisaidii. Nilishatoa serial number mara kadhaa. Sikupata msaada wowote. Hili tatizo linamalizwa lini?? Mpaka nawaza kuondoa kabisa katika mtandao ta TTCL.
Tuma namba wewe kama hutaki nipe vocha hiyo niende ofisini kwao nikamalizane nao
 
Angalia Halotel imekuja juzi tu lkn leo hii, asilimia kubwa ya watanzania wanazo laini za Halotel. Mm mwenyewe ninayo
TTCL ni shirika la kwanza kuanzishwa lkn lipo lipo. Si lifutwe tu.
Ohoo! Dogo, tuombe radhi tafadhali! Tutatema laana sasa hivi!!
 
Halafu unaambiwa wao ndio wanawauzia wengine Internet kutoka mkongo wa taifa
Yaani unauza maji halafu kwako una bomba haitoi maji? watu si watafikiri ni hujuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…