Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

TTCL wamekuwa wasumbufu sana hivi sasa, kila dakika wanatuma matangazo ya sms mpaka inakera
 
Hivi hao ttcl na serikali hawasomi hizi comments?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nina lain ya ttcl aseee kwaza had sasa mkoa nlipo hawana 4G hiyo 3G yao ni sawa na E ya vodacom imagne kudowload kitu chenye 5Mb inachukua had dakika10... Aseee nltaman kuvunja line sema ipo for purpose
 
Ni kampuni gani inaendesha mkonga wa Taifa. Nikipata jibu nitaendelea na hii mada.
 
Nina tumia laini yao mahali niliko napata kasi sawa na voda tu tena wako poa kabisa

Bei nafuu kuliko voda
 
Hawa tangu walipoanza kutoa gawio kwa mwendazake ndio walipoharibikiwa...
 
Nina lain ya ttcl aseee kwaza had sasa mkoa nlipo hawana 4G hiyo 3G yao ni sawa na E ya vodacom imagne kudowload kitu chenye 5Mb inachukua had dakika10... Aseee nltaman kuvunja line sema ipo for purpose
Duuh pole mzee mimi nashusha episode za series daily mB hadi 200 dakika 7 imeshuka

Usiku ndio iko fasta sana napata. Hadi 5mps
 
Duuh pole mzee mimi nashusha episode za series daily mB hadi 200 dakika 7 imeshuka

Usiku ndio iko fasta sana napata. Hadi 5mps
..,.....,....,ilibid had nirud offisin kwao kujjuliza maana natumia net for the whole day line yao imebidi niweke kapuni warikili hawana 4G na brabra kibao..sio rahs hii kampun ku survive kwenye competitive market
 
Hawa tangu walipoanza kutoa gawio kwa mwendazake ndio walipoharibikiwa...
Dah! Mkuu hauna kumbu kumbu vizuri naona.

Sema, tangu waanzishe utaratibu wa line na simu kutoingiliana na mitandao mingine ndiyo kadhia ilianzia pale ni zaidi ya miaka 10 sasa.

Hujuma hoyo hadi leo haijapata mwarobaini na mchawi aliyeiroga Ttcl hajafa wala hajastaafu.
 
Hiyohiyo iliyotajwa kwenye mada
Ni hiyo hiyo kampuni iliyotuambia kwamba baada ya kukamilika kwa mkonga huo, matatizo ya internet yatabakia kuwa historia. Wakapewa wauendeshe lakini inavyoelekea umewashinda. Hawa jamaa walishindwa toka siku walipouingia mkenge wa kuwakubalia wajanja watumie minara yao kuendesha cellular phone na wao wabakie na simu za mezani tu. They were so myopic they couldn't see beyond their noses. Matokeo yake MO ni multimillionaire na wao ni kapuku. They will never learn from their past mistakes.
 
Elezea kidogo mkuu kuhusu MO na TTCL!
 
Wanahujumu wao wenyewe si wanauhakika private file kifupi utawasikia Mimi nna PF bwana nna Shaka gani ndo maneno yao wafanyakazi ttcl karibu wote tatuen matatizo ya wateja wanajimwambafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…