#COVID19 Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

#COVID19 Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Wanasayansi wana wajibu mkubwa katika kulinda Afya ya Jamii.

Wajibu mkubwa zaidi ni madaktari walio wizara ya Afya.

Kujifukiza ni hatua moja tu katika kupambana na gonjwa hili baya la covid19.

Sasa ni wakati wa kuacha utani, wananchi tunataka chanjo!

Kenya wamepata
Uganda wameoata
Rwanda wamepata.

Ina maana wanasayansi wao wako tofauti?

Tupate chanjo bana!

1615543988382.png


Smart Kagame getting a covid19 vaccine jab.

Ssis maprofesa uchwara bila research wanaendelea kupinga vaccine.
 
Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujifukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza?
 
Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujivukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza?
Kuna mbunge, tena wa kanda yetu ya ziwa, alijifukiza mpaka akala matawi na majani.
Lakini akadedi.
Tanzania twende kisayansi.
 
Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujivukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza!!!?
Wakisema mabeberu ndiyo utaamini au...?
 
Wakisema mabeberu ndiyo utaamini au...?
Mabeneru ni wakinanani mkuuu? Isiwe unaita mabeberu kumbe unaelezea mbuzi wenu uko!!.. ebu niambie ni dawa gani ambayo hatoki uko mnapowaita baberu? Hizo condom zenyewe azilindi kwa asilimia 100 na bado mnatumia mbona hili hamuoji? Ebu nitajie dawa inayotibu kwa silimia 100 mkuu unayoifaham tu?
 
Back
Top Bottom