Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wanasayansi wa Kenya, Uganda na Rwanda ni wazembe au siyo?Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!
Lengo la chanjo ni kinga ya ugonjwa ili ukikupata usidhurike,unaweza ukawa na chanjo ya TB ila still TB ikakupata,hata Surua ni hivyo hivyo pia.Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!
Afrika kuna wanasayansi bwashee?Wanasayansi wa Kenya, Uganda na Rwanda ni wazembe au siyo?
Sasa kwanini ubahatishe na hizo chanjo wakati kinga ya asili " nyungu" ipo?Lengo la chanjo ni kinga ya ugonjwa ili ukikupata usidhurike,unaweza ukawa na chanjo ya TB ila still TB ikakupata,hata Surua ni hivyo hivyo pia.
Ila kujivukiza kuna asilimia 100?Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!
Tuna kina Dr Gwajima, Profesa Nchembe , huo usomi wameazimwa?Afrika kuna wanasayansi bwashee?
Labda ile Afrika ya waarabu.
Kuna mbunge, tena wa kanda yetu ya ziwa, alijifukiza mpaka akala matawi na majani.Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujivukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza?
Wakisema mabeberu ndiyo utaamini au...?Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujivukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza!!!?
Wakati huo wewe utakuwa ushaoza kisa kutaka kumfurahisha boss wakoHizo chanjo hazina uhakika wa 100%
Ngoja waendelee na majaribio kwanza!
Hapo unampigia mbuzi gitaaa tu maana hana ajuwaloLengo la chanjo ni kinga ya ugonjwa ili ukikupata usidhurike,unaweza ukawa na chanjo ya TB ila still TB ikakupata,hata Surua ni hivyo hivyo pia.
Kwahiyo unatuthibitishia kabisa kuwa wale waliofanya uchunguzi wa mafenesi,mapapai kuwa yana corona hawakuwa wanasayansi?Afrika kuna wanasayansi bwashee?
Labda ile Afrika ya waarabu.
Ginegisyooo humaSasa kwanini ubahatishe na hizo chanjo wakati kinga ya asili " nyungu" ipo?
Mabeneru ni wakinanani mkuuu? Isiwe unaita mabeberu kumbe unaelezea mbuzi wenu uko!!.. ebu niambie ni dawa gani ambayo hatoki uko mnapowaita baberu? Hizo condom zenyewe azilindi kwa asilimia 100 na bado mnatumia mbona hili hamuoji? Ebu nitajie dawa inayotibu kwa silimia 100 mkuu unayoifaham tu?Wakisema mabeberu ndiyo utaamini au...?
Sasa hao na Dr Mwaka wana tofauti gani?Tuna kina Dr Gwajima, Profesa Nchembe , huo usomi wameazimwa?
Mbona mtoto wa Mbowe alitumia mitishamba pale muhimbili na akapona Corona?Wakati huo wewe utakuwa ushaoza kisa kutaka kumfurahisha boss wako