#COVID19 Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

Kelele za chula hazimzuii mamba kunywa mayi , chanjo itakuja tuu...
 
Mwisho wa siku sijui tutakuwa wageni wa nani, kwa sababu hama hatujachanjwa, hatutaruhusiwa kutembelea hizo nchi za wenzetu ambao watakua washachanjwa. Tunahitaji chanzo
 
Utasafiri na nyungu zako!
Hapo sasa.
 
Sikiliza video hii hadi mwisho kila utaamua mwenyewe, kama chanjo ni muhimu au sio muhimu.
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona una upeo mdogo wa kufikiri!
Sitaki kurumbana nawe, tafuta anayejua matumizi ya alama ! Akueleweshe. Sawa nina uwezo mdogo wa kufikiri, wewe nani alikuambia tunataka chanjo ya Corona na umeamua kumshangaa, vinginevyo ondoa ! Ili nikuelewe.
 
Hata ulichoandika hakieleweki.
Kaa chini fikiri kwanza.
 
Mods, ondoeni alama ya mshangao mbele ya Covid- 19! Isomeke Covid -19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…