Uchaguzi 2020 Tuache utani, uchaguzi wa mwaka huu 2020 utakuwa mgumu sana kama Membe atagombea kupitia upinzani

kiasi fulani nakubaliana na wewe ila kwa tz hilo bado lipo mbali sana
hasa ukiitazama ile mihimili
kuanzia bunge mahakama polisi jeshi tume ya uchaguzi mh!!! unatokea wapi huo upinzani
labda jumuiya za kimataifa ziingilie kati
mfano tazama znz tu
walitamka hawaitoi kwa makatasi na kweli haikutoka
 
Hili la kujibu maswali na hoja litakuwa jipya. Kuna midahalo?
 
Ya kusadikika hayo! Membe na zito labda watachukua mkeo tu, Hana ubavu was kuchukua hata kitongoji kimoja! Magu ndio mpango mzima!
 
upinzani kushinda ni jambo moja na kupewa huo ushindi ni swala jingine
Hilo la kushinda Membe au mgombea wa Chadema au kushirikiana sitalisema sasa hivi, lakini kuhusu mshindi kutotangazwa eti kwa ubabe wa dola au wizi safari hii itakuwa ngimu sana.
Tanzania inatazamwa kwa jicho la darubiri kuliko wakati mwingine wowote na jumuia za kimataifa.
Iko kama inategewa ijichanganye ifanyiwe jambo isilotegemea.
Na picha inaonekana kuwa katika kampeni huru Magufuli atagaragazwa vibaya kwani hataweza counter attack. Ameshazoea jukwaa huru la kujisifu tuu kwa miaka mitano na anayojisifu yamekifu sasa na hata akisi maisha ya kawaida ya wananchi wapiga kura.
Na pia kwa sasa hana team ya watu wenye ushawishi itakayo zunguka kumnadi, wote amewajeruhi na wamemtenga kiaina. Hawa Bashiru au Polepole nani wanaweza kumshawishi jambo?
 
Mkuu jmushi1 jambo moja ambalo wengi hawalifahamu kuhusu kanda ya Ziwa ni kuwa labda tamba yake itakuwa Mwanza, Shinyanga na Simiyu. Lakini Kagera na Geita sio kabisa.
Magu hawamkubali kwao, ndio maana unaona Chadema inamsumbua sana Chato na Geita kwa ujumla. Kagera ndio usiseme, kura halali hawezi pata zaidi ya 30% (za kweli).
Mara nayo sio mahali pa kuchota kura kirahisi.
 
Zitto Kabwe kweli ni bwabw.. Hivi unaandika upuuzi huu nchini Tanzania wakati kwenu Watanzania tulikuwa tunawaombea roho chafu ya Ukanda, Udini, Ukabila iishe na tuliomba kabla na baada ya Uchaguzi amani itawale Burundi. Who you Zitto, Mbona Pep..
Kama unajiamini Gombea Kigoma Mjini tena, ili ujue Watu walivyokuchoka.
Saizi unahaha namna ya kushawishi ili kuungwa Mkono na Wazee, Mashehe na Wafadhili wako , Na Mpaka sasa huelewi utagombea Ubunge wapi maana Urais umekushinda.
 
si wa huku ndo twajua umaarufu wwa membe Hana umaarufu wowote
 
Watanzania mnajitahidi sana kuchochea udini ukabila na ukanda ipo siku maombi yenu yatalipa. hamjifunzi toka Kenya tu? Maraisi wote waliopita sijaona kipindi ambapo Raisi alichakugilwa kikanda naona wote wanapigiwa sawa tu. Acheni ubaguzi wa kitoto mnatakiwa kukemea ubaguzi sio kuchochea shubaaaaaaaaaaamit.

Na huyo Membe kama alishindwa pita kwenye mchujo wa CCM atawezaje kupata kura za urais ebu amkeni kumekucha uchaguzi kesho kutwa na hamjapata mgombea strong wa kuwakilisha upinzani.

Hiki ndo kinawamaliza CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. na ndio sababu CCM itatawala muda mrefu Mgombea mnamandaa miez 2 kabla ya uchaguzi kweli?
 
Any one thinking about Membe even getting 5% is not serious. First of all he is likes praise. He conned diaspora that he is going to make sure Tanzanians in diaspora get dual citizenship but all was lies. He never even managed to bring the idea to Bunge. The guy is unknown and has done nothing to help people in the south. The south has been in serious problems until Magufuli and his prime minister came to power. I bet the most votes Membe will get is 2% of all the votes. You may not like Magufuli for whatever reasons but there is no way he is not going to be elected the president.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…