Tuache utani. Ukiwa committed Inawezekana kabisa Kutengeneza pesa Online. Muhimu taarifa sahihi.

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657
Mambo vipi wadau?

How is the feeling this Sunday evening?

Hapa Arusha ni kibaridi kwa mbaaaaali hii jioni. Nimetupia Maasai shuka nimetulia living room and it feels good man.

Kama kawaida kila nipoandika hapa JF nakupatia mbinu zakutengeneza “chapaa” mtandaoni ili ujiongezee kipato.

Siku ya leo nataka nikusaidie kukupatia taarifa sahihi jinsi utakavyoweza kuanza DROPSHIPPING hapa Tanzania mara moja.

Nikisema taarifa sahihi namaanisha kila kitu unachopaswa kufahamu kuhusu dropshipping kabla hujaanza.

Na ukipata taarifa hizi hakuna kitakachokuzuia kutengeneza profit.

Hapa nikisema kila kitu namaanisha EVERYTHING YOU NEED TO KNOW. Everything.

1 • Jinsi dropshipping inavyofanyika hapa Tanzania na jinsi unavyoweza kuanza mara moja.

2 • Jinsi unavyoweza kuchagua “hot products” za kuuza na kupata wateja kweli. Hapa nitakusaidia kukuonyesha products zinazofanya vizuri kila mwezi.

3 • Jinsi yakuuza mtandaoni. Yes hii ni muhimu sana kwasababu dropshipping si tu kumiliki duka bali pia kufahamu jinsi yakuuza mtandaoni. Nafahamu mbinu za hali ya juu na nitakufahamisha kila kitu.

4 • Iwapo upo busy na kazi nyingine nitakuonenyesha jinsi yakupata watu wanaoelewa hii business yakusaidie kuendesha iwapo utahitaji.

5 • Jinsi yakujenga Authority ili wateja wakuamini na kununua kwako. Kumbuka bila ya kuwa na Authority ni ngumu sana kuuza mtandaoni. Sasa nitakufahamisha kwa undani kuhusu hili.

Taarifa hizi zote muhimu na sahihi kuhusu dropshipping nimeandaa katika lugha ya Kiswahili na pia katika namna rahisi inayoeleweka. You need to trust me on this.

Are you ready to start dropshipping today?

Nitumie ujumbe na nitakujibu mara moja.

Kama hufahamu dropshipping ni nini hasa unaweza soma post zangu za nyuma.
 
ungeweka detail zote hapa jukwaani, hayo mambo ya PM ni utapeli mtupu,

Mkuu mbona mimi najulikana hapa? Email yangu ni makingmoneyonlinetz@gmail.com

Vile watu wameshazoea ukiwa unafanya Online business na unataka kufundisha wengine kwa gharama kidogo wanadhani ni ujanja ujanja.

Mkuu laki si pesa nipo vizuri nafaa kuaminika. I won’t steal no one money.
 
umetumia sanaa kubwa katika uandishi wako ila inavyooneka nia yako sio njema

Hapana ndugu.

Nia yangu ni njema. Pia hii si mara ya kwanza mimi kuandika JF.

Nimefanya kazi na watu wengi sana hapa. Wengine wanakuja hadi nyumbani kwangu Usa River kupata darasa.

Nikutoe wasiwasi nafanya kila kitu changu kama professional siyo blah blah
 
Mkuu, mi napenda Sana kufanya hizi Mambo tatizo scammers Ni wengi Sana,,, hebu Ni patie hints kidgo ili nishawishike
 
Mkuu, mi napenda Sana kufanya hizi Mambo tatizo scammers Ni wengi Sana,,, hebu Ni patie hints kidgo ili nishawishike

Unachosema ni kweli mkuu.

Soma post nilizoandika nyuma.

Kuna mengi ya kujifunza.
 
Reading this in 2020! So legit! Je
umeshajaribu kutransfer funds zako kuingia TZ kupitia PayPal mwaka huu? Nahisi unaweza kunipa clarification maana kwangu nakwama kidogo na kuna mtu humu JF amedai kuwa inawezekana tena kupitia crdb! Na je, hapa TZ drop shipping clients unawapataje? Au kwenye website yako wanakuja walioko nje ya Tz. Nitashukuru ukinijibu hayo maswali mawili. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…