Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 274
- 254
Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui.
Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa ifanyi vizuri Mo kaweka mzigo sasa tunaona simba inapiga kweli mpira biriani.
Tuache wivu kama nawe unataka wakakutangaze kwenye jezi kaweke mzigo.
#SIMBA
#NGUVU MOJA#NEXT LEVEL