Wakusolve JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 274 Reaction score 254 Sep 3, 2021 #1 Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui. Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa ifanyi vizuri Mo kaweka mzigo sasa tunaona simba inapiga kweli mpira biriani. Tuache wivu kama nawe unataka wakakutangaze kwenye jezi kaweke mzigo. #SIMBA #NGUVU MOJA#NEXT LEVEL
Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui. Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa ifanyi vizuri Mo kaweka mzigo sasa tunaona simba inapiga kweli mpira biriani. Tuache wivu kama nawe unataka wakakutangaze kwenye jezi kaweke mzigo. #SIMBA #NGUVU MOJA#NEXT LEVEL
Lutandagula JF-Expert Member Joined Apr 8, 2018 Posts 1,762 Reaction score 2,154 Sep 3, 2021 #2 Hebu jifunze kuandika vizuri kwanza,kunywa maji ya baridi,tulia halafu andika upya!
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,033 Reaction score 8,805 Sep 3, 2021 #3 Mleta mada wewe ni ke au me? Kama ni me halafu unaandika "huzi" badala ya "udhi" nakuwa na mashaka na usalama wa marinda yako.
Mleta mada wewe ni ke au me? Kama ni me halafu unaandika "huzi" badala ya "udhi" nakuwa na mashaka na usalama wa marinda yako.
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Sep 3, 2021 #4 Kizibo said: Mleta mada wewe ni ke au me? Kama ni me halafu unaandika "huzi" badala ya "udhi" nakuwa na mashaka na usalama wa marinda yako. Click to expand... Huyu atakuwa ni K bila shaka, kama ni Me marinda yapo matatani ova.
Kizibo said: Mleta mada wewe ni ke au me? Kama ni me halafu unaandika "huzi" badala ya "udhi" nakuwa na mashaka na usalama wa marinda yako. Click to expand... Huyu atakuwa ni K bila shaka, kama ni Me marinda yapo matatani ova.
Wakusolve JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 274 Reaction score 254 Sep 3, 2021 Thread starter #5 Kizibo said: Mleta mada wewe ni ke au me? Kama ni me halafu unaandika "huzi" badala ya "udhi" nakuwa na mashaka na usalama wa marinda yako. Click to expand... Kwani mkuu kuna pesa unaipata humu jamii forum hayo ni makosa ya kawaida
Kizibo said: Mleta mada wewe ni ke au me? Kama ni me halafu unaandika "huzi" badala ya "udhi" nakuwa na mashaka na usalama wa marinda yako. Click to expand... Kwani mkuu kuna pesa unaipata humu jamii forum hayo ni makosa ya kawaida
Wakusolve JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 274 Reaction score 254 Sep 3, 2021 Thread starter #6 Lutandagula said: Hebu jifunze kuandika vizuri kwanza,kunywa maji ya baridi, tulia halafu andika upya! Click to expand... Imekuchoma mada
Lutandagula said: Hebu jifunze kuandika vizuri kwanza,kunywa maji ya baridi, tulia halafu andika upya! Click to expand... Imekuchoma mada
maserinojr Member Joined Mar 31, 2020 Posts 77 Reaction score 182 Sep 3, 2021 #7 M n simba damu vikolokolo sio ishu ila aache kutuambia hapati faida over
Wakusolve JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 274 Reaction score 254 Sep 3, 2021 Thread starter #8 maserinojr said: M n simba damu vikolokolo sio ishu ila aache kutuambia hapati faida over Click to expand... Sema kikubwa ni soka mkuu kama timu inachukua vikombe shida inakuwa wapi
maserinojr said: M n simba damu vikolokolo sio ishu ila aache kutuambia hapati faida over Click to expand... Sema kikubwa ni soka mkuu kama timu inachukua vikombe shida inakuwa wapi