Tuacheni kula sumu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ndo maana tumekuwa na wasiwasi Sana kila tunaposikia taarifa ya msiba.ukweli Ni kwamba tunajiua wenyewe.kifo nakifananisha na jinsi samaki u avyomvua na Kisha kumuua na kumpika ndo kifo au niseme dunia Ni Kama mashine inayokata Sasa Kuna shimo Hilo tunalikaribia kwenye kukatwa Kama mkasi.leo hii mkiisikia sauti yake msiifanye migumu mioyo yenu.mambo yashakuwa mengi kupigwa Sasa waziwazi.na nawaambia walahi siku ya kiama asilimia 80 ya vifo vya wanadamu vitakuwa vimesababishwa na binadam wenzao.msihangaike Sana yule mnyama Ni pesa na Ana power Hapa ulimwenguni.kila mmoja atawajibika kumshinda Tumia formula yako kumshinda.

Pia kwa faida zenu za afya yawapasa watu wazima wenye umri muacheb. Kunywa pombe kupita kiasi Ni hatari ebu vumilia hi miaka iliyobaki ishi kwa kula matunda na kufanya mazoezi unaamka mapema unakunywa maji utaongeza siku eti.

Kwa nyie vijana wenzangu acheni kutumia simu kwa muda mrefu kwani mtapata matatizo ya macho nako sio mazuri yakupasa uwajibike upendeze ucheke na kusali kwako iwe lazima kwani hujui tarehe ngapi utaondoka..Tumia simu kusoma kitu Cha muhimu pale inapobidi tu kwa faida ..wewe sikukatazi kula ubwabwa na nyama sana mpaka ufike miaka 45.jiepushe na chemical naamini unazijua.

Tupendane upendo mzuri sio unakuwa na tamaa ya kuwapenda Wengi unatamani mademu Wengi wa Nini tulia baki njia kuu ndugu yangu hayo mambo sio mazuri mwisho wake Wengi wanakujaga kulia.ukiona maisha ya mjini yamekuwa ya stress Sana usiogope kwenda ku refresh shamba.Ni kweli nimefanya utafiti leo nimegundua tunazika Sana ndo tuenende kwa usalama.sometimes unaweza kukuta huko mjini mnapokaa Kuna air pollution kubwa inayowaathiri SI magari mengi njooni huku bush mrelax kidogo.

Tafakari chukua hatua.
 
Tatizo ni CCM na mipango yake inayowanyima raia furaha. Watu wanastress za maisha, hawana vipato, wanawake hawatulii wanaka maisha mazuri na hela ngumu, bado magonjwa, lawama za ndugu na majirani. Bili kubwa, madalali, mbanano wa mijini, tozo, etc, why mtu asife sasa kwa stress?!
 
Mkuu mbona umeandika kama unakimbizwa si ungetulia upangilie vizuri tu. Angalau kila aya moja iwe na laini 4 hadi 6 za maneno. Tupe nafasi na sisi tusome kwa raha Mkuu, tunaitaji furahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…