playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
U-star unapozidi tu anazidi kuwaa kama kapagawa yani anakuwa anawaza ni afanye awe kwenye headlines muda wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akija hapa utasikia suruali kama fuko la mashine
Bora hata Kiba alivaa kama Herode, ila huyu suruali kama glass ya wine ukiigeuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akija hapa utasikia suruali kama fuko la mashine