Safi sanaaa!! Mafisadi wanaumia sana hata chadomo wanapita hapa mbio kuelekea ufipaGive credit where it's due, for sure hapa JPM I hat off to you π©
Hii technology inayotumika hapa kwa kweli ni komesha this is superb
Vivaaa JPM ππΌ πͺπΌ the visionary guru
Vivaaa Tanzania πΉπΏ πΉπΏ πΉπΏ the unforgettable
Wako vizuri sana wakimaliza hii reli itaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza Africa kuwa na reli ya umme yenye kilometer nyingi...ukiacha reli ya umeme ya SA na Morocco ambazo n za umeme lakini zina-kilometer chacheGive credit where it's due, for sure hapa JPM I hat off to you [emoji145]
Hii technology inayotumika hapa kwa kweli ni komesha this is superb
Vivaaa JPM [emoji1360] [emoji1377] the visionary guru
Vivaaa Tanzania [emoji1241] [emoji1241] [emoji1241] the unforgettable
Kuna watu wanaroho ya chuki sana. Wanatakiwa wajue tu huwezi kumlaani aliyebarikiwa. JPM mpakwa mafuta wa Bwana.Hizo picha hazijaanza leo. Tangu kipindi kilichopita ambacho tulikuwa hatuna mradi, hayo yalikuwapo.
Bravo my President JPM
Kuna watu wanaroho ya chuki sana. Wanatakiwa wajue tu huwezi kumlaani aliyebarikiwa. JPM mpakwa mafuta wa Bwana.