Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Nimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana.
1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na kuendelea kuwa shikilia ni kuendelea kujiweka katika mazingira hatarishi ya kushambuliwa na hata kusababisha vifo.
2. Israel imeuwa maelfu ya watu wa palestina wengi wakiwa ni watoto na wamama. Kuna sababu gani ya kuendelea kushikilia watu wa4? wamalize kazi angalao kuongeza hasara kwa israel.
3. Mji wa Gaza kwa sasa umekuwa magofu baada ya israel kubomoa 95% ya majengo yote yaliyopo kule gaza. Hii inanikumbusha mji wa Aleppo uliopo kule syria ulivyoaribiwa na majeshi ya serekali wakati wakipambana na makundi ya kigaidi ya isis.
3. Mji wa Gaza umechakazwa vibaya mno. Itachukuwa muda mrefu sana kuja kuujenga tena.