Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Nashukuru sana mpendwa. Happy New year
 
Heri ya mwaka mpya kwa wana jf wooote ila salamu za upendeleo ziwafikie
Iceman 3D
Supermaket
Zamilun zamilun
Naan ngik kundie
Toxic
Aishah2016
Ukhuty
Nifah & The bold
Mshana jr
Wambeke
Black woman
gbefa
Preta
Miss chagga
Mungu awatimizie haja za mioyo yenu ndani ya mwaka huu
 


Mkuu Lizarazu, ubarikiwe sana ndugu. Mwaka 2017 uwe wa mavuno kwako.

-Kaveli-
 
Special for Khantwe. Happier New Year to you mdada mzuri.

2017 uwe mwaka wa mavuno na kucheka. Uwe mwaka wa furaha kwako na familia yako mpendwa.

Sometimes huwa nakumiss mpk natetemeka!

-Kaveli-
 
Mkuu barafu,unamaanisha nini mbona sijaielewa hii post?

Nifahamishe tafadhali.
Frola maana yake -enye jinsia ya kike,mwanamke,enye vinasaba na -ke
Sasa ni kama nimeona mtu hapo juu akikutambulisha kama "Ke",ndio maana mimi nikajisemea;hivi kumbe Patience123 ni mwanamke?

Kama sikuielewa post na kusababisha "usumbufu" juu ya jinsia yako;niwie radhi
 
Nashkuru sana mkuu barafu...

Ni kweli kuwa mimi ni mwanamke.

Ubarikiwe na uwe na mchana mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…