Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

Dogo chenga
 
Huwa namwambia sana hii kauli, Watu hujifunza kutokana na uzoefu wa watu wengine.
Yupo kwa I'd nyingine
Exactly, tumia uzoefu na makosa waliyofanya waliokutangulia ili kuwa bora. Usisubiri ufanye makosa weww ndio ujifunze, sasa vijana wetu hawa siku hizi wabishi sana
 
Au ndiyo yake maandalizi ya kuwa mtu mkubwa sana ifikapo ule mwaka ulioutaja?
 
Huyo jamaa ana shida kichwani, kulingana na mada zake hawez kuwa mzima kichwani, anahitaji msaada, ila afunguki sasa
 
Kaaaaaazii kweli kweli

Mwenzetu unaaga kila muda kwani wajiandaa na bridal, kitchen na send off vipi ushachukua kigodoro na feni makeup isiyeyuke ??

Mwenzetu unaaga kila muda kama unangoja talaka , Kwan talaka bado ??

Unaaga kila muda kama unaenda boxing vipi wewe ni Mayweather??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…