Mkuu muwe na huruma mturudie mtuchukue[emoji2] [emoji2]Shauri yenu,si tuko bagamoyo twaelekea zanzibar then maskat pepon,bakini na jiwe lenu.
Tuliwaonya hamkusikia,bye bye.Mkuu muwe na huruma mturudie mtuchukue[emoji2] [emoji2]
GaniNchini
Hahaha lakini Kuna DNAFyatueni tu na mvua hizi tuna madawati ya kutosha
Hahahahahahah!!!! Nyie watu hamuishi vituko humu jf.Umeona eenh sio poa yaan huku unaezwa geuzwa mbwa koko
Basi atakua ni Miguna MigunaMmmh hilo swali tasa mkuu
Hahah!! Hapa unamuongelea jiwe sasa[emoji23] [emoji23] au ndo anaenda kuongoza malaika