Deryck Leon
New Member
- Jan 4, 2017
- 4
- 4
Ni biashara nzuri ila ina changamoto zake.
kabla ya yote hakikisha umefanya tafiti ya upatikanaji wa umeme na maji kwenye eneo ulilolenga kufanyia biashara.
Kuna mashine za diesel lakini sio best kama za umeme.
Biashara unataka uifanyie mkoa gani?
Nataka nianzishe biashara ya mbao je kwa mtaji wa shilingi milioni 10 unatosha kuanzia? Aliye na uzoefu anijulishe