Tuambiane maneno ambayo hata ukilitamka au kulisoma kinyume linabakia vile vile..

Mbona wengi mmekosea ... Ad mtoa mada.. "kindoki" ukisoma kinyume inakuwa "ikodnik" na lipuli inakuwa "ilupil"

Tatizo nyie mnachukua herufi mbili kwa pamoja...
KI NDO KI

Mfano wa neno sahihi ni ,"EYE"
 
Ok
 
Mimi naanza na
1)LIPULI,
2)KATIKA
3)............
Kinyume ni vipi? Herufi?
LIPULI = ILUPIL?
KATIKA = AKITAK?

Hizi sawa:
Ana = anA
Apa = apA
Ala = alA

Did = diD
Tit = tiT
 
Tiketi,Toto,Kaka,Kuku,Dudu,Lulu,Gogo,Jojo,Pipi,Zizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…