Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaongeaga kirahisi rahisi sana, Maisha ya jela yanazoeleka?? Umewahi kufungwa ama una ndugu kafungwa ger3zani ?Kila aina ya maisha yanazoeleka, hata maisha ya mfungwa yanazoeleka na kuwa kawaida, kila kiumbe limekumbwa kuishi kila aina ya maisha yaliyopo kwenye mazingira yake wakati huo, ingawa mwanzoni na wakati mwingine kumbukumbu za jana zinaleta usumbufu kidogo ila yanawezekana .
Bro hata sisi tulipo uraiani tunalalamika, maisha kwa ujumla wake ni magumu, kila aina ya maisha ni magumu, ila yanazieleka na yana ishika, sio mfungwa mtu huru mjane mwenye ndoa asiye nayo wote tunaishi kwa ugumu lakini tumesha zoea na tunaendelea.Mnaongeaga kirahisi rahisi sana, Maisha ya jela yanazoeleka?? Umewahi kufungwa ama una ndugu kafungwa ger3zani ?
Yangekuwa yanazoeleka wafungwa wangekuwa hawalalamiki na jela ingekua sio sehemu inayoogopeka.
kuna hali ya kuzoea maisha kwa kuyavumilia lakini sio kuyazoea