REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 4,664 Reaction score 9,929 Mar 4, 2018 #1 Wadau wa lugh hii ya kiswahili mlipo sehemu mbali mbali duniani ,njooni mtuambie inchi zipi ukienda kiswahili unaweza kukiuza kama bidhaa yani mfano unaweza pata dili la kukifundisha, nk Karibuni
Wadau wa lugh hii ya kiswahili mlipo sehemu mbali mbali duniani ,njooni mtuambie inchi zipi ukienda kiswahili unaweza kukiuza kama bidhaa yani mfano unaweza pata dili la kukifundisha, nk Karibuni