holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Kila mtu amepitia changamoto mbalimbali tangu ukuaji wake mpaka hapa alipo,
Wengi wetu tumetokea katika familia masikini,changamoto hazikosekani
Pengine sasa hivi wewe ni daktari,nesi,rubani,mwalimu,afsa ktk ofsi flani,au wewe ni mfugaji mkubwa,mkulima, mfanyabiashara na una kazi yeyote inayokuingizia kipato
Tuambie,changamoto gani uliyopitia mpaka kufikia mafanikio hayo? Na ulikabiliana vipi na hizo changamoto mpaka ukatoboa?
Kumbuka, Kadri unapotoa changamoto yako ndio darasa kwa wengine na itawasaidia jinsi ya kukabiliana nazo.
Tiririka.