Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Mwaka ukiwa unaishia hivyo kwa wapenzi wa burudani yaani music na wale wa bata batani, viwanja.

Hebu weka top 3 yako hapa ya ma dj waliofanya powa na kukurusha kama sio kukukonga nyonyo na hata kupelekea unywe bia nyingi kama sio kitimoto kilo 2.

Ni vizuri pia tukikumbuka mchango wa hawa watu sio kila siku wasanii. Tu
Kwangu ni hawa.
Dj kidylux- (wasafi fm &tv)
Dj delvick- (wasafi fm &tv)
Dj summer -( East Africa tv&radio)

Bonus
Dj scratch designer (clouds).
Cc Times9 ,
 
Summer siku hizi kaja na mtindo wake anapiga vi drums dah yule jamaa bwana hapoi yaani.
Wa huko nyie huwa si mnamuona?
Siku hizi yuko wapi? Nilikuwa namwona Governer Kinondoni na kuna kipindi Papii Churo
 
Lakini mkuu uwezo wake Summer unauonaje? Ngoma zipi huwa anapenda kuzipiga?
nilichanganya, niliyekuwa namwona ni ommy crazy sio summer.
Alikuwa anapiga mziki kule juu sisi tunakunywa bia bar ya mtu mwingine chini kwaa 2000 kwa kutumia mziki wake. Badae na papii churo wakaweka bei ya serikali.
 
Huyu nae unampa asilimia ngapi kwa uwezo wake?
Napenda dj anayejua kupiga nyimbo za aina nyingi.
 
Huyu nae unampa asilimia ngapi kwa uwezo wake?
Napenda dj anayejua kupiga nyimbo za aina nyingi.
Anapiga zile za kuchangamsha halafu kwenye playlist yake haikosekani Hakuna Mungu kama wewe na ule wimbo wa Zabron Singers nadhani unaitwa nimeuona.
Ukiona zinapigwa nyimbo hizo ujue ishafika saa tisa, wa kazini asubuhi mjiandae mwondoke.
 
Ni kwikwi aseeh hivi mpaka sasa bado wanapigaga zile kwaito instrumental?
Ni mambo ya kizamani kupiga kwaito
 
Back
Top Bottom