Hahahaaaa....dogo siku hiyo mi mwenyewe sielewi nini kilinipelekea kuandika matusi na kuchora baadhi ya viungo ubaoni. Halafu ajabu siku hiyo kila mtu aligoma kufuta ubao eti ticha aje aone. Kaja ticha kwenye pindi akasoma yale matusi akatoka kimyakimya. Dakika mbili tu maticha wote walokua staff rum wakazama class, kidogo headteacher nae kaitwa...pale ndo nikahisi kumbe nimefanya kitu extraordinary hahahaaa...ilikua kama bomu la nyuklia limetua shuleHahahaah dogo tena na ulivyo na vurugu za chinichini hao jamaa walipata taabu sana.
Umenikumbusha mbali sana..pale ndo nilijifunza kupiga puriNakumbuka nikiwa home nilitoboa ukuta wa toilet ukawa kama unamatundu ya risasi..
Asa ikawa kila mgeni akija nisomuelewa (mdada lakini) naenda kupiga chabo niliifaid sanaa misambwanda ya enzi izoo...
Wakioga wakikata gogo wakikojoa me nawakodo tuu...
Ikinipanda nagakika kabisa...
Nashukuru sikuwahi onekana asee
Mkuu nimecheka sn hadi chozi limenitoka.Niliwahi kukuta jamaa kaopoa demu wake mahali wamejibanza gizani.
Kwa akili zangu za utoto nikawafuata nikawastua kwa sauti ya kustukiza ya ghafla.
Jamaa akadhani amebwambwa akatimua mbio na demu wake naye mbio.
Baada kama ya dakika mbili jamaa akatulia akaangalia akakuta ni dogo ndio nimemzingua, hakukuwa na hatari yoyote.
Jamaa akanifukuzia kwa machungu akakinikamata, alinipiga mtama enzi hizo tunaita ngwala, nikabinuka juu chini, nilivyotua hewani nikapoteza network kama dakika tano.
Yaani network zilikata nikashindwa kujua ni wapi nilikuwa nimetokea na ninaelekea wapi.
Jamaa kuona vile hofu ikamshika maana anilijua ni dogo wa kitaa, alikuwa ananifahamu, akataka kusepa kwa uoga kuwa huwenda ameniumiza .
Baada kama ya dakika tano hivi network zikarudi.
Nikaamka nikaelekea nyumbani.
Tangu siko hiyo adabu ilinishika, sijawahi mpaka leo kumzingua mtu nikimkuta yuko kichochoroni na mchepuko wake aiseee
Niliwahi kukuta jamaa kaopoa demu wake mahali wamejibanza gizani.