Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
siku hizi wanaume wamehamishia tabia za wanawake kwenye makalio,kiasi tukipishana nao lazima ugeuke ili kuangalia kama ana tabia nzuri...
Aaan[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani umenifanya nicheke mpaka watu wanaiangalia wanadhani nimewehukasiku hizi wanaume wamehamishia tabia za wanawake kwenye makalio,kiasi tukipishana nao lazima ugeuke ili kuangalia kama ana tabia nzuri...
Mkuu hio inaweza kuwa OCD(obsessive compulsive disorder)mi huwa najishangaa na kujicheka mwenyewe, kila siku usiku kabla ya kulala huwa nafunga mlango na kuthibitisha mwenyewe,halafu nikifika kitandani hisia zinakuja kuwa labda sijafunga mlango,narudi tena kufunga mlango.
Ahaaaa, mi pia hufanya ivyomi huwa najishangaa na kujicheka mwenyewe, kila siku usiku kabla ya kulala huwa nafunga mlango na kuthibitisha mwenyewe,halafu nikifika kitandani hisia zinakuja kuwa labda sijafunga mlango,narudi tena kufunga mlango.