Tuambie msosi unaoukubali sana

Tuambie msosi unaoukubali sana

kitiji

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
68
Reaction score
55
rejea kichwa cha habari hapo juu
nimeandika huu uzi nikiwa na njaa mpaka nikaukumbuka msosi wangu pendwa, wali samaki unitoi hapo ata nikiambiwa nile mwenzi mzima iko chakula nitakula bila lawama,
vipi wewe, ni aina gani ya chakula unchokipenda mostly, wale wa chips mayai, sijui pizza bagga hizo hapana. taja chakula cha ki kwetu kwetu
 
Back
Top Bottom