Unialike ukiwa unakula hiko chakula nikusaidie kula nyama tuUgali na nyama choma ya mbuzi+mboga za majani(sio hizi zinazolimwa dar)
Sent using Jamii Forums mobile app
huu mtama inabidi niuonje kwa kweli, mana sijui radha yake kabisaa yaniUgali wa Mtama na Maharage.
Hahaha..Poa usijali mremboUnialike ukiwa unakula hiko chakula nikusaidie kula nyama tu
Ukiogopi kitambi??..maana kile kitambi cha wanawake sijui hata nisemeje!!Mm napenda nyama jamani yaani iwe ya kuchoma au kukaanga daah na tundizi pembeni na kabeer kabaridiii
Mm napenda nyama jamani yaani iwe ya kuchoma au kukaanga daah na tundizi pembeni na kabeer kabaridiii
haha! unapenda nyama! basi wewe utakuwa kibonge hatariMm napenda nyama jamani yaani iwe ya kuchoma au kukaanga daah na tundizi pembeni na kabeer kabaridiii
Karibu mbuzi choma shunieMm napenda nyama jamani yaani iwe ya kuchoma au kukaanga daah na tundizi pembeni na kabeer kabaridiii
Eeeh bwana wali ndondo ni mchanganyiko wa wali na nini?Wali ndondo
Ukiogopi kitambi??..maana kile kitambi cha wanawake sijui hata nisemeje!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Beer tamu sana mkuu kwa mm niliyeizoea Heineken ya baridiiii hapa mate yananitoka jitahidi uweze utaizoea tuHivi beer inautamu gani mbona mi nimeshindwa kuizoea?
He hehaha! unapenda nyama! basi wewe utakuwa kibonge hatari
Karibu mbuzi choma shunie