Beer tamu sana mkuu kwa mm niliyeizoea Heineken ya baridiiii hapa mate yananitoka jitahidi uweze utaizoea tu
Eeeh bwana wali ndondo ni mchanganyiko wa wali na nini?
Yaani bia unashindwa ila konyagi unaweza!!???...Hahaha!!Yani zinanishinda kabisa ndo maana napenda konyagi tu
Yani zinanishinda kabisa ndo maana napenda konyagi tu
au vipi yani naona.nashindwa kuelezea ..Imekushinda sababu unaona beer kama maji kwako au vipi
msosi huu lazima upate wadau,Wali ndondo
Maybe alianza na safari lager..ila angeanza na hizi lite maybe asingezichukia biaEbu shangaa sijui beer inamshindaje
Oouh.. nimekupata Mujarabu.Swahiba hapo namaanisha ubwabwa wenye mboga ya maharage.
Maybe alianza na safari lager..ila angeanza na hizi lite maybe asingezichukia bia
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume wa mkoani sio!Ugali wa udaga na dagaa uku nikishushia juice ya nanasi[emoji123]
Safari ngumu kidogo,,wanaisifia kwa sababu ya bei na pia unatumia kiasi kidogo kuwa high..Hahaha mbona safari watu wanaisifia nzuri sana
msosi huu lazima upate wadau,
Yap chief.mwanaume wa mkoani sio!
safari ni ya watu wa kazii, ila siku hizi kimea chake hakiivi kabisa yana kera ndo maana yananishinda sa hiviSafari ngumu kidogo,,wanaisifia kwa sababu ya bei na pia unatumia kiasi kidogo kuwa high..
Sent using Jamii Forums mobile app