Ukinipa mimi hiyo kazi nakuahidi utapumzika maana am genuine, humble and integrity!.Wakuu habari za nyie...
Mara nyingi nimekuwa nikiskia watu wanaambizana,. "Ukijiajiri unakuwa na mda mwingi wa kupumzika Kwasabu Kila kitu unajiamulia mwenyewe ufanye au usifanye".. kiuhalisia naona kama hii kauli haina ukweli,. Ila tuachane nayo tu kwanza tujikite kwenye mada
Tukiachana watumishi wa serikali najuwa likizo wanazo na wanazotumiaje hilo wanajua wenyewe,. Haya wewe ambaye umejiajiri kwanini hupumziki??,. Kwanini hujipi mda wa kupumzika japo hata miezi miwili au mitatu utulie tu upumzishe mwili na akili Au hata wiki au hata siku kadhaa ,. Kwanini hufanyi hivyo?..
Ni kwamba unaipenda sana KAZI au biashara Yako??, Au ni kwamba wewe hupendi kupumzika ( kutulia ) ,Bado hujatimiza malengo? Na unaamini ukifanya KAZI mfululizo bila kupumzika ndio utafanikiwa??,. Unayo majukumu mengi kiasi cha kwamba usipofanya KAZI wiki au mwezi mmoja Kila kitu kinavuruguika??,. Huna mtu wa kukusaidia ?? Au shida Nini??.... Tuambizane tu kidogo huenda ukapata namna ya kujipumzisha kutokana na maoni ya wadau..
Kwa upande wangu ni kwamba Bado sijaweza kujisimamia mwenyewe na watu ninaoshirikiana nao usipowasimamia KAZI zinaweza zisiende au zikafanyika sio Kwa kiwango kile ambacho inabidi kifanyike, Na mambo mengi ambayo yanahitaji kutimizwa Kwa wakati maana umri hausimami etiπ₯Ή
Nahitaji sana kujipumzisha ila changamoto ndio hiyo..
Tuambie na wewe tatizo nini???
Njoo utengeneze madirisha unahisi Kuna nyingine SasaππUkinipa mimi hiyo kazi nakuahidi utapumzika maana am genuine, humble and integrity!.
Mh! hebu kwanza niambie kazi gani baby wangu..?π
Hata nikupe shingapi haitakutosha! so we kitulize tu mchumba... bora hata wewe una account wengine hata bank hatujawahi kufika...πNjoo utengeneze madirisha unahisi Kuna nyingine Sasaππ
Nikajuwa utaniuliza unahitaji kiasi gani kwenye Account Yako ili upumzike mamaaa?π
Hatuna mapumziko na kila siku ni mapambano.Hizo emoji yaelekea Kuna jambo,... Tuambie ni lipi hilo?
Ni kweli kabisa uyasemayoYani ukisikiliza maneno ya wafanyabiashara na wajasiriamali wa bongo unaweza kudhani waliojiajiri wote ni matajiri na walioajiriwa wote ni masikini, kuna ukweli mwingi sana unafichwa sema ndio vile tena kila mtu anataka aonekane motivational speaker ila ukweli ni kwamba kwenye biashara, kama kweli unautaka huo utajiri basi hakuna huko kupumzika wanakokusema vinginevyo utaishia kuwa mid class au masikini kabisa, ni kama tulipokuwa shule tulikuwa tunaambiwa mkifika chuo mtakuwa na uhuru mnaoutaka hakuna wa kuwapangia maisha tofauti na shule lakini cha ajabu ukifika huko chuo, ni kweli hakuna wa kukuingilia ila hayo masomo tu yenyewe yatakuingilia na yatakupangia maisha hivyo ili ufaulu utalazimika kujiwekea ratiba kama ya mwanafunzi wa shule tu kiasi kwamba hata hiyo raha ya huo uhuru huioni
Miili na akili zetu hazijaumbwa kuwa idle..Means mkuu wewe huitaji kupumzika??
DuuhMimi kazi yangu huwa ni mbususu tu hakuna kingine, ukinipa oda ya mbususu huwa najiandaa na kwa lisaa limoja nikimkamata mwanamama huwa nahakikisha sipumziki mpaka inakuwa kavu. secretarybird