mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
kipi kilimo kinalipa, mtazamo na ukweli ninaojua ni kilimo cha mazao ya kudumu, kahawa, korosho, parachichi, ndizi nk ni mazao machache sana yasiyo ya kudumu yanayolipa mfano viazi mviringo, mpunga, tumbaku, mahindi(huku tunapiga pesa kutegemea msimu nimetaja mazao yanayolimwa nyanda za juu kusini na ambayo wakulima wengi wanatobolea maisha).
Je, mafanikio yanachukua muda kiasi gani kwenye kilimo, (mafanikio yapo very slow unaweza usijue kuwa unafanikkwa hasa kama unalima mazao ya kudumu).
so ili ufanikiwe kwa haraka kubali kulima na kufuga, mifugo ipi inalipa inayolipa kwa Tanzania? ni ngombe, mbuzi, nguruwe nje ya hapo sina uhakika na mifugo mingine nimetafiti sana kuhusu kuku nilochokiona hakuna ukweli kuhusu faida.
So ukitaka kufanikiwa kupitia kilimo na mambo yako yawe yaende lima na kufuga utakuja nishukuru badae, sijafanikiwa na mimi sio tajili bali nilichokiona ni kipato changu kubadilika as time goes on, ongeza au twambie kama umejikita kwenye kilimo unahisi nini kimechangia mafanikio kwenye kilimo unacholima.