Hii serikali kama petrol leo ni 2660 Tutajikuta tunaenda kazini na bajaji sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa wanaopita Bagamoyo Road, maeneo ya Skanska kuna matrafiki na matochi yao.Twende kazi [emoji3]
Kwa Puma, Engen na Total
Hawa TARURA wanaboa sana na hizi tozo za parking sa hivi ntakuwa naenda kupark bar
Kumbe sio tatizo la hapa kwetu tu.Aisee prado zina shida gani??? Hii mara ya tatu ball joint zinachomoka..
Wwe lazima utakua dereva wa Daladala la Kigamboni/ M/Complex!! Just joking!!Nyerer bridge Kigamboni watoe zle alama za 30 na 40 wanakula sana pesa zetu washenzi wale
Wwe lazima utakua fundi garage!!Aisee prado zina shida gani??? Hii mara ya tatu ball joint zinachomoka..