Wwe lazima utakua dereva wa Daladala la Kigamboni/ M/Complex!! Just joking!!
Wwe lazima utakua fundi garage!!
Mkuu, hakuna mkeka mtamu tanzania nzima kama wa ushirombo mpaka nyakanazi.. ni wamoto sanaa
Mkuu umeona mkeka wa masaki kule cocobeach ule mkeka umetengenezwa grade A tutamiss sana JPM. Nilijikuta nimefika 120kph afu ngoma naona kama haikimbiii[emoji28][emoji28][emoji28] imetulia road. Ule mkeka kwangu naupa no1
Ninepita hapo waminitoa fineKwa wanaopita Bagamoyo Road, maeneo ya Skanska kuna matrafiki na matochi yao.
Twende kazi [emoji3]