Tuambie Unamiliki Gari bila kusema direct kwamba Una gari

Badilisha tairi acha kubet na kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kumdanganya, tairi zilizokuja na gari angalia expire date tu kama bado zipo ndani ya mda endelea kutumia. Huu huwaga ni ushauri wa wauza tairi used/mtumba. Nilinunua x3 mwaka 2019 tairi zake ni za mwaka 2018 natumia mpk leo sijabadili.
NB: nimepiga ndege wawili kwa jiwe moja, ushauri na kuchangia uzi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jua sahivi linaharibu sana viraba raba vya kwenye gari hususan kwenye vioo
 
Air freshener ipi ni nzuri na inadumu kwa muda mrefu? Hii nimenunua juzi juzi tu imeshaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…