Tuambie upo nchi gani muda huu na hali ipoje huko

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko

Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani

Thank U VPN
 
Niko nchi ya nyumbani kwangu na hali ni shwari kabisa nataka kulala sasa😎
 
Ufaransa[emoji4]
Screenshot_20201101-182403.jpg
 
Nimekuja kujua kuwa watanzania wengi technology ni shida sana kwetu , nchi nzima imelipuka kushangilia VPN kama vile ni ugunduzi sijui uliotokea Tanzania , VPN mbona zipo miaka na miaka , binafsi huwa natumia VPN kila siku ya maisha lakini zaidi nimeitumia tokea 2011 paka sasa nipo nchi tofauti na Tanzania na naigonga kama kawa , jamani tupende kujifunza maswala ya Technology na science , binafsi nimejua tuko nyuma sana kwenye huu mwamba
 
Dunia ina mambo mengi sasa kaka huwezi kumaliza kujifunza yote hata uishi miaka 100 , vingine tunasoma darasani pia vipo ambavyo mazingira yanatufundisha kama huvi uchaguzi umefundisha technology hii 😀
 
Nimekuja kujua kuwa watanzania wengi technology ni shida sana kwetu , nchi nzima imelipuka kushangilia VPN kama vile ni ugunduzi sijui uliotokea Tanzania , VPN mbona zipo miaka na miaka , binafsi huwa natumia VPN kila siku ya maisha lakini zaidi nimeitumia tokea 2011 paka sasa nipo nchi tofauti na Tanzania na naigonga kama kawa , jamani tupende kujifunza maswala ya Technology na science , binafsi nimejua tuko nyuma sana kwenye huu mwamba
Nilikuwa naijua VPN na nilishaitumiaga wayback😂 2016 nilikuwa na case ya mtandao nikitumia kukwepa traces kabla hata sheria haijarasimishwa na TCRA.
Ushahidi ulikosekana
 
Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko

Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani

Thank U VPN
Falme za kiarabu, Dubai
 
Nilikuwa naijua VPN na nilishaitumiaga wayback[emoji23] 2016 nilikuwa na case ya mtandao nikitumia kukwepa traces kabla hata sheria haijarasimishwa na TCRA.
Ushahidi ulikosekana

Binafsi simu yangu iko 24/7 in VPN MODE ,,, kuna advantage yake kwa watu sana kwenye ulimwengu wa tech
 
Dunia ina mambo mengi sasa kaka huwezi kumaliza kujifunza yote hata uishi miaka 100 , vingine tunasoma darasani pia vipo ambavyo mazingira yanatufundisha kama huvi uchaguzi umefundisha technology hii [emoji3]

Kweli mkuu
 
Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko

Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani

Thank U VPN

Mimi nipo Tz, huku "tumepigwa" kura zetu na hali sio nzuri sana kwani viongozi wa upinzani wamo ndani, lakini maisha yanaendelea., mimi situmii VPN lakini hii Tecno yangu ni bomba sana.
 
Nimekuja kujua kuwa watanzania wengi technology ni shida sana kwetu , nchi nzima imelipuka kushangilia VPN kama vile ni ugunduzi sijui uliotokea Tanzania , VPN mbona zipo miaka na miaka , binafsi huwa natumia VPN kila siku ya maisha lakini zaidi nimeitumia tokea 2011 paka sasa nipo nchi tofauti na Tanzania na naigonga kama kawa , jamani tupende kujifunza maswala ya Technology na science , binafsi nimejua tuko nyuma sana kwenye huu mwamba
Unategemea mtanzania wa kawaida aijulie wapi kama hakuna mahitaji ya lazima ya kujua technologia hii, wakati mwingine demand ya kitu fulani ndio inakufanya ujue kua kuna technologia fulan zina exist ila huwezi jua kila kitu.
 
Back
Top Bottom