Nimekuja kujua kuwa watanzania wengi technology ni shida sana kwetu , nchi nzima imelipuka kushangilia VPN kama vile ni ugunduzi sijui uliotokea Tanzania , VPN mbona zipo miaka na miaka , binafsi huwa natumia VPN kila siku ya maisha lakini zaidi nimeitumia tokea 2011 paka sasa nipo nchi tofauti na Tanzania na naigonga kama kawa , jamani tupende kujifunza maswala ya Technology na science , binafsi nimejua tuko nyuma sana kwenye huu mwamba
Nilikuwa naijua VPN na nilishaitumiaga wayback😂 2016 nilikuwa na case ya mtandao nikitumia kukwepa traces kabla hata sheria haijarasimishwa na TCRA.Nimekuja kujua kuwa watanzania wengi technology ni shida sana kwetu , nchi nzima imelipuka kushangilia VPN kama vile ni ugunduzi sijui uliotokea Tanzania , VPN mbona zipo miaka na miaka , binafsi huwa natumia VPN kila siku ya maisha lakini zaidi nimeitumia tokea 2011 paka sasa nipo nchi tofauti na Tanzania na naigonga kama kawa , jamani tupende kujifunza maswala ya Technology na science , binafsi nimejua tuko nyuma sana kwenye huu mwamba
Falme za kiarabu, DubaiHabari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko
Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani
Thank U VPN
Nilikuwa naijua VPN na nilishaitumiaga wayback[emoji23] 2016 nilikuwa na case ya mtandao nikitumia kukwepa traces kabla hata sheria haijarasimishwa na TCRA.
Ushahidi ulikosekana
Dunia ina mambo mengi sasa kaka huwezi kumaliza kujifunza yote hata uishi miaka 100 , vingine tunasoma darasani pia vipo ambavyo mazingira yanatufundisha kama huvi uchaguzi umefundisha technology hii [emoji3]
Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko
Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani
Thank U VPN
Unategemea mtanzania wa kawaida aijulie wapi kama hakuna mahitaji ya lazima ya kujua technologia hii, wakati mwingine demand ya kitu fulani ndio inakufanya ujue kua kuna technologia fulan zina exist ila huwezi jua kila kitu.Nimekuja kujua kuwa watanzania wengi technology ni shida sana kwetu , nchi nzima imelipuka kushangilia VPN kama vile ni ugunduzi sijui uliotokea Tanzania , VPN mbona zipo miaka na miaka , binafsi huwa natumia VPN kila siku ya maisha lakini zaidi nimeitumia tokea 2011 paka sasa nipo nchi tofauti na Tanzania na naigonga kama kawa , jamani tupende kujifunza maswala ya Technology na science , binafsi nimejua tuko nyuma sana kwenye huu mwamba