toplemon JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 4,612 Reaction score 4,721 Dec 5, 2017 #1 Naomba tudiscuss fursa ambazo mwana chuo anaweza akazitumia awapo chuoni kujitengenezea kipato Karibuni sana wadau na wanajukwaa
Naomba tudiscuss fursa ambazo mwana chuo anaweza akazitumia awapo chuoni kujitengenezea kipato Karibuni sana wadau na wanajukwaa
Zillion JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 1,378 Reaction score 1,866 Dec 5, 2017 #2 Kuna nyuzi nyingi humu zimeeleza fursa mbalinbali kwa kirefu mkuu, hasa jukwaa la biashara.
Jumaaofficial JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 250 Reaction score 209 Dec 5, 2017 #3 Kuuza vocha hasa bundle, kutoa huduma za M pesa, T pesa, wanafuzi wengi wantegema kutumiwa Boom kutoka home, kunawale wadada wanaodanga
Kuuza vocha hasa bundle, kutoa huduma za M pesa, T pesa, wanafuzi wengi wantegema kutumiwa Boom kutoka home, kunawale wadada wanaodanga
friendfx JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 247 Reaction score 256 Dec 5, 2017 #4 Ngoja wanakujaa
toplemon JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 4,612 Reaction score 4,721 Dec 6, 2017 Thread starter #5 good
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Dec 6, 2017 #6 fanya biashara ya kuuza ped za wadada, utapiga pesa.
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Dec 6, 2017 #7 au cheki mazingira anzisha ujasi yaani biashara ya chakula sahani buku unawapigia mixa za pilau tambi majani kidogo kidogo, utalamba pesa chafu
au cheki mazingira anzisha ujasi yaani biashara ya chakula sahani buku unawapigia mixa za pilau tambi majani kidogo kidogo, utalamba pesa chafu
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,921 Dec 6, 2017 #8 au cheki mazingira anzisha ujasi yaani biashara ya chakula sahani buku unawapigia mixa za pilau tambi majani kidogo kidogo, utalamba pesa chafu
au cheki mazingira anzisha ujasi yaani biashara ya chakula sahani buku unawapigia mixa za pilau tambi majani kidogo kidogo, utalamba pesa chafu
james marco JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 208 Reaction score 167 Dec 6, 2017 #9 Kuuza karatasi naona zinalipa hasa kama upo hostel kwa udom kwani kwenye stationaries wanauza 50/= so ww unawza uza hata kwa 25=
Kuuza karatasi naona zinalipa hasa kama upo hostel kwa udom kwani kwenye stationaries wanauza 50/= so ww unawza uza hata kwa 25=