Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Wasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu mzima.
Mpaka sasa sina kumbukumbu ya wasanii ambao waliwahi kuwasifia au kuwashukuru wazazi wao wakiume, ingawa wanaume wamekua wakitumia muda mwingi kuhangaikia familia ipate chakula, mavazi na malazi ili isihazirike lakini bado thamani ya baba imekua haionekani sana katika mboni za watoto wengi.
Mama ni mshirika ambaye anakua mwalimu kutambaa, kutembea na kuongea ndo maana wasanii wengi wamepata shauku ya kutunga mashairi kuwashukuru mama zao, Mama ni tunu hatuna kumuenzi kizazi na kizazi.
Licha ya kutungwa tungo mbalimbali kumhusu mama lakini haijawahi kuchosha yaan mapokeo yake yamekua makubwa mno.
Mfano wa wasanii hao
1. Christian Bella ft Ommy Dimpoz- Mama
2. Tupac - Dear Mama
3. Harmonize - Mama
4. Banana Zorro - Mama
5. Kayumba - Mama
6.
.
.
10.
Tuambizane hapa wimbo gani wa mama uliwahi kukubamba vilivyo, binafsi wimbo wa Kayumba