Tuambizane wimbo gani wa Mama uliwahi kukubamba?

mama ya mr nice ilikua na hisia kali sana
Dah natoka skul... Nafika home simkuti bi mdashi, mama mwenye nyumba ananambia mama amedondoka ghafla tu na amepelekwa kcmc..... Saa mbili usiku nacheki TV hiyo ngoma inapigwa..... From that day mama hakuwahi kuwa mzima hadi anadedi
.... Miss u MAMA 😢😢😢
 
Tu
Tupo pamoja mzee
 
Yaani hawa jamaa hata kidhungu walichotumia hata mimi wa lapili B naelewa, this is ma best song for MAMA ever!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…