Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 461
Naomba kufahamu hilo. Jaji Warioba kwa nyakati tofauti ameaminiwa na Umma, amewasilisha matakwa ya umma, amesimamia umma, ametetea umma, amejipambanua kwa umma. Kama ni hivyo, tuamini au tusiiamini kazi yake?