Chizi Fureshi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 1,718 Reaction score 461 Mar 11, 2014 #1 Naomba kufahamu hilo. Jaji Warioba kwa nyakati tofauti ameaminiwa na Umma, amewasilisha matakwa ya umma, amesimamia umma, ametetea umma, amejipambanua kwa umma. Kama ni hivyo, tuamini au tusiiamini kazi yake?
Naomba kufahamu hilo. Jaji Warioba kwa nyakati tofauti ameaminiwa na Umma, amewasilisha matakwa ya umma, amesimamia umma, ametetea umma, amejipambanua kwa umma. Kama ni hivyo, tuamini au tusiiamini kazi yake?