Tuangalie na kusikiliza hekima zilizo kuu za Mh. Lukuvi, tutapata jambo hapa.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida,
Get listen!👇
 
Attachments

  • 10000000_704917451458143_351319472943210753_n.mp4
    11.8 MB
Mkristo namba moja anayeongoza kwa chuki dhidi ya waislamu na uislamu.

Huyu hata kuficha hisia zake za chuki alishindwa kabisa.
 
Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida,
Get listen!👇
Tuna viongozi wapuuzi Sana. TEC wameainisha vifunguu vibovu.
Kimoja ni cha kutoruhusu takukuru
Cha pili cha kujitoa, kama mambo yatakuwa ndivyo sivyo .
Jingine la kutuhumu wafanyakazi wezi, wakati wanao chagua Bodi na manejimenti ni hao hao Wana siasa Kwa kufuata uchawa , wanaotegemewa nini.
Mwisho kutofuata ushauri WA wataalamu , yaani wana sheria na kuleta siasa mahali ambapo siasa haifai.
 
Points anazo Rostam aziz
 
Taasisi za dini zinatakiwa kushauri serikali ndani ya mifumo kama ilivyowekwa 1992. Ni rahisi sana kuumiza nchi changa kama yetu kupitia dini na hasa matamko kama haya ya KIJINGA. Bado tutaona kila dhehebu halafu na sisi Wachaga, masai, wa kizimkazi etc tutakuja na yetu. UPUUZI HUUUU.
Kanisa linaacha majukumu yake jamii inaanguka kimaadili inaongia kwenye malumbano. PURELY RUBBISH.
NAENDA KANISANI NGARENARO SASA WAKIANZA TU KUSOMA NATOKA NJE. HICHO SIO CHAKULA CHA ROHO.
 
Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida,
Get listen!👇
Kampeni zimeanza
 
Taasisi za dini zinatakiwa kushauri serikali ndani ya mifumo kama ilivyowekwa 1992. Ni rahisi sana kuumiza nchi changa kama yetu kupitia dini na hasa matamko kama haya ya KIJINGA. Bado tutaona kila dhehebu halafu na sisi Wachaga, masai, wa kizimkazi etc tutakuja na yetu. UPUUZI HUUUU.
Kanisa linaacha majukumu yake jamii inaanguka kimaadili inaongia kwenye malumbano. PURELY RUBBISH.
NAENDA KANISANI NGARENARO SASA WAKIANZA TU KUSOMA NATOKA NJE. HICHO SIO CHAKULA CHA ROHO.
HAKIKA BIBLIA NI TAKATIFU,ILISHA SEMA TOKA AWALI,YA KAISARI MPENI KAISARI NA YA MUNGU MPENI MUNGU,
"wamegeuza Nyumba ya baba yangu kuwa mapango ya walanguzi na wanyanganyi"
 
Kwani shida iko wapi hasa kwenye kurekebisha hizo kasoro zilizo bainishwa na wadau mbalimbali kuhusu huo mkataba wa bandari?
Inavyoonekana kuna watu wamevuta na wakasainishwa huo mkataba ukiwa na mapungufu,yani inawezekana makubaliano ya kuvuta ni pamoja na hivyo vipengele vibovu,tatizo ndio huanzia hapo,sasa kwa mazingira hayo huo mkataba utarekebishwaje?
 
hujawahi kanisani mkuu kupata neno la waraka?.
 
Back
Top Bottom