😂😂😂😂😂😂Angalia kumawasapu, kumatwita yote yanasema yanga imeingizwa goli moya na zesco, mimi nawambia mashabiki yangu kwao tunaingiza goli hizi[emoji111]mbili.
AiseeeeeMikia roho zinaumaaaa..MO Dewji “malengo yetu kufika nusu fainali”kumbe mpaka matajiri wanaota ndoto za mchana