Nimemsikiza kova akilamba miguu ya mafisadi kwa mtindo wa "mtumikie kafiri................"
Hajui uchungu tulio nao kwa kuporwa haki yetu.
Mimi nina mfano halisi: Makongolo Mahanga siyo mbunge halali wa Segerea, na hii kitu inanikera sana kila nikikumbuka.
Tumfanye nini?
Tusishirikiane naye kwa vyovyote katika Polisi Jamii.
Hapo tutakuwa tumemmaliza.
Au munaonaje?
Bila jino kwa jino hawa hawatakoma.