Tuanze na MUNGU, na tumalize na MUNGU! HI JF MEMBERS.

Tuanze na MUNGU, na tumalize na MUNGU! HI JF MEMBERS.

Furaha tele kuungana nanyi katika ukumbi huu, full kujiamini maana najua huku ndiko wadau halisi wa fikra pevu waliko. Maana nimekuwa nikivutiwa sana na mijadala nikiwa nje ya ukumbi huu kwa zile sauti chache nilizokuwa nikizisikia na kuziona, sasa nimeamua kuingia ili sauti yangu iwavute na wengine walio nje waingie ili tuujadili mstakabali wetu, pamoja saaaaana!https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A S angel.gif
 
Back
Top Bottom