balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Wengi wetu wapenda soka tuliiona kama mkombozi wa mpira wetu,tukaipendà na kuwa wateja wa bidhaa zake,ikafaidika sana na soka nikajua.Hii Leo wamejitoa na kutuacha wapweke.Tuwasusie ili bidhaa zao zidode.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app