balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
😳😳😳Wengi wetu wapenda soka tuliiona kama mkombozi wa mpira wetu,tukaipendà na kuwa wateja wa bidhaa zake,ikafaidika sana na soka nikajua.Hii Leo wamejitoa na kutuacha wapweke.Tuwasusie ili bidhaa zao zidode.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo!!! asili ya Mtanzania kununua bidhaa fulani si kwa sababu ya matangazo bali ni urahisi wa bidhaa hiyo. Kwa taarifa yako hakuna mtanzania hata mmoja aliyeamasika kujiunga na voda kisa wanadhamini mpira bali ni urahisi wa huduma zao wa data pamoja na muda wa maongezi kadhalika mtandao wake unafikika sehemu nyingi na huduma za kutuma fedha kazianza siku nyingi na ana uzoefu nazoWengi wetu wapenda soka tuliiona kama mkombozi wa mpira wetu,tukaipendà na kuwa wateja wa bidhaa zake,ikafaidika sana na soka nikajua.Hii Leo wamejitoa na kutuacha wapweke.Tuwasusie ili bidhaa zao zidode.
Sent using Jamii Forums mobile app
... hakika.. nakumbuka walitoa gawio la bil. 1.5 kwa government!... wanaweza kuidhamini ligi yetu!Tudhaminiwe na TTCL aka rudi nyumbani kumenoga!!!
Hayo ni immaterial kwa sasa,wakati huo mpira haikuwa ajira na biashara. Kwa sasa hali imebadirika,tuwasusie tuuJiulize before vodacom nani alikuwa mdhamini? Je voda na league kuu nini kilitangulia kuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefanya utafiti? Mimi nilikuja sababu ya mpira,unasemaje?Acha uongo!!! asili ya Mtanzania kununua bidhaa fulani si kwa sababu ya matangazo bali ni urahisi wa bidhaa hiyo. Kwa taarifa yako hakuna mtanzania hata mmoja aliyeamasika kujiunga na voda kisa wanadhamini mpira bali ni urahisi wa huduma zao wa data pamoja na muda wa maongezi kadhalika mtandao wake unafikika sehemu nyingi na huduma za kutuma fedha kazianza siku nyingi na ana uzoefu nazo
Hao nao wanalewa sifa Kifurushi cha 800mb kimekuwa 6mbTudhaminiwe na TTCL aka rudi nyumbani kumenoga!!!
Wajina nakuona...[emoji12] [emoji12]Wacha waende tu atapatikana mwingine
Duh kwa Mara ya kwanza ndio nakutia machoni