faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,596 Reaction score 1,719 Aug 23, 2018 #21 Swali jumuishi. Hivi yule mkurugenzi wa vodacom aliyekataliwa aliafanikiwa kuchukua kile kiti ? Au kuna mwingine alikuja kutoka nje au kuna mzawa kala shavu? Sent using Jamii Forums mobile app
Swali jumuishi. Hivi yule mkurugenzi wa vodacom aliyekataliwa aliafanikiwa kuchukua kile kiti ? Au kuna mwingine alikuja kutoka nje au kuna mzawa kala shavu? Sent using Jamii Forums mobile app
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,452 Reaction score 2,197 Aug 24, 2018 #22 Kwa wizi ule wa voda kwenye MB inaonyesha wana hali mbaya tsiwalaumu tatizo ni yule mkulu w a inchi Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wizi ule wa voda kwenye MB inaonyesha wana hali mbaya tsiwalaumu tatizo ni yule mkulu w a inchi Sent using Jamii Forums mobile app